Search

1574 results for Sharon Sauwa :

  1. Madiwani CCM, maofisa ushirika wadakwa wakidaiwa kuuza tumbaku kwa kangomba

    Akihitimisha hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2024/25 jana usiku Ijumaa, Mei 3, 2024, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema alimshukuru mkuu wa Mkoa wa...

  2. Serikali yakiri uwepo wa malalamiko ya rushwa kwenye mabaraza ya ardhi

    Amesema pale watakapopata taarifa za baraza kutoa maamuzi yanayoonesha kuna ushawishi wa rushwa, hatua huchukuliwa.

  3. Serikali ya Tanzania yatetea uamuzi wa kusimamisha uvuvi Ziwa Tanganyika

    Amesema samaki hawa wanahitaji kipindi cha miezi mitatu mpaka minne kufikia kiwango cha kuvuliwa.

  4. Serikali yataka subira magari ya Zanzibar kutambulika Bara

    Yasema baada ya kupokea maoni ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), mapendekezo hayo yatawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa hatua zaidi.

  5. JKT kuzalisha lita milioni 28 za mafuta ya mawese

    JKT imejiwekea malengo ya kufikia ekari 2,000 za michikichi kwa mwaka 2024/25 na hadi sasa wameandaa na kupanda ekari 1,100.

  6. Wabunge wataka hatua za ziada kudhibiti tembo

    Serikali yaeleza hatua inazochukua kudhibiti tembo kwenye makazi ya watu na kusababisha madhara ikiwemo vifo na kuharibu mazao shambani.

  7. JKT yafufua boti iliyoharibika miaka 20 iliyopita

    Akizindua boti hiyo Aprili 30, 2024, Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema boti hiyo itatumika katika shughuli za ulinzi wa Ziwa la Tanganyika hususan kupamba na wavuvi haramu na wahalifu...

  8. Bunifu 42 za Kitanzania tayari kwenda sokoni

    Serikali imetaja mafanikio ya kuendeleza bunifu ikiwa ni pamoja na 42 kufikia hatua ya kuingia sokoni

  9. Kahawa kuuzwa kwa ‘bajaji’ kukuza soko

    Kuna mkakati wa kubuni na kutengeneza migahawa inayotembea kwa kutumia pikipiki za miguu mitatu zitakazotumika kuuza wa kahawa katika maeneo mbalimbali ya umma na kwenye mikusanyiko ya watu

  10. Serikali kujenga nyumba 562 za walimu

    Hayo yamesemwa leo Jumanne Aprili 30, 2024 na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainabu Katimba wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu Jacqueline Andrew

Page 1 of 158

Next